3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


*Nyumba inauzwa Mbezi Beach-Juliana*
*Distance* Meter 600 kutoka lami kubwa.
*Neighbourhood* Mtaa mzuri umejengeka na majumba ya kifahari.
-Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, chumba 1 master bedroom, dining, sitting room, kitchen na public toilet.
-Plot size Sqm 750
-Document: Title Deed 0787 939 898
*Bei shilingi milioni 270 maongezi yapo*