3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







NI NYUMBA KUBWA SANA INAUZWA MILIONI 85 MAONGEZI YAPO
#NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI WA KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER KUBWA SEBULE KUBWA DAINING KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
PIA PANA SEVARNT KOTA YA CHUMBA NA SEBULE
NYUMBA NI NZURI AINA MGOGORO WOWOTE NI MMILIKI MWENYEWE ANAUZA
NYUMBA INAFIKIKA VIZUR BILA SHIDA YOYOTE
NYUMBA IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI NYUMBA NI YA KUNUNUA KUDEKI NA KUAMIA TU
BEI NI ML 85 MAONGEZI YAPO
SERVICHAJ ELFU 25
CONTACT
0746 433 854