3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI GHOROFA INAUZWA (MILLION 195) MBEZI JUU AFRICANA KWA NIABA YA BANK
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Ina Vyumba Vitatu Juu Kimoja Master Chini Pia Vitatu Kimoja Master
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 800
Umbali: Meter 400 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Africana Traffic Lights)
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 195 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=