3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
JUMBA KUBWA SANA LINAUZWA
PIGA SIMU 0755831740
IPO MBEZI BARABARA YA GOBA KITUO KKKT
UMBALI KUTOKA GOBA ROAD NI DK 10 KUTEMBEA
====
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA VITATU
KIMOJAWAPO MASTAR
SEBULE KUBWA SANA
DAINING JIKO NA CHOO CHA PABLIC
NA PEMBENI KUNA SEVENT KOTA YA CHUMBA NA SEBULE
=====
MAJI UMEME PAVING BROC SAFI
UKUBWA WA KIWANJA NI 30 KWA 30
DOCMENTI ZA MAUZIANO SELEKALI YA MTAA
====
BEI NI MILIONI 160/
MAONGEZI YAPO
====
KUONA NYUMBA 30,000/=