3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI MAKABE SENTA
BEI MILIONI : 55
maongezi yapo
___________________
Inavyumba vitatu
Kimoja master
Sebule kubwa
Daning yachakula
Jiko nastoo yake
__________________
Ukubwa waeneo
Sqmt 500
_____________________
Umbali kilometers 2
Kutoka njia apanda ya goba na makabe
##0655256419
##0741547273



















