3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
TSHS MIL 200,#NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI MWISHO MPIJI MAGOHE
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 1000
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI MILIKI SAFII
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba vitatu vya kulala Vyote Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! π€
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 200
Maongezi yapo
__
_
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE;
dalalimbezibeach_humphrey
#0713664151β
#0686913424βοΈ