3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAUZWA (MIL 99) MBEZI MWISHO MSAKUZI
Mawasiliano: O677370515
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Frem Mbil Za Biashara
Umiliki Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limerasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo : SQM 500
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Ipo Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 99 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=