3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MBEZI MARAMBA BARABARA IENDAYO KINYELEZ 🇹🇿 DAKIKA 2 KUTOKA RAMI
0759128747 } { 0712058357
0624436503 } { whatsapp
Ina Vyumba VITATU Kimoja Master, Sitting& Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Bei : 60 Million Maongezi yapo
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Hi sio yakukosa tajiri nyumba ipo karibu sana nabarabara yarami
Ukishuka kwenye bajaji
Unatembea dakika 2 umefika kwenyenyumba
BEI MILIONI 60 MAONGEZI YAPO KARIBU