3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri sana ya kisasa inauzwa:
Room 3 moja self
Dirning sitting jiko public toilet na maji dawasco
Eneo-sqm 450
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 115 maongezi
Location- mbezi msumi
Umbali-km 2 kutoka main road madale mwisho
Na mita 600 kutoka barabara kubwa ya msumi inayowekwa lami
Karibuni
0782 724 115 🇹🇿