3 Bedrooms House for sale at Mianzini, Dar Es Salaam


NYUMBA INA UZWA IPO MIANZINI KAIRUK ROAD
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA VITATU MASTER MOJA SEBULE JIKO CHOO
PEMBENI KUNA VYUMBA NA CHUMBA SEBULE
ZIMEJAA WAPANGAJI
HIZI NYUMBA ZINA UZWA KWA BEI YA KITUPWA
KIWANJA KINA SQM 580
PAMEPIMWA NA PANA HATI SAFI YA WIZARA
PANAUZWA KWA BEI YA MILION 88
NASEMAJE PANA TUPWA FULL HAT
Contact
0625584914