3 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma




INATAZAMA BARABARA YA LAMI YA KISASA
NYUMBA NA KIWANJA KIKUBWA INAUZWA KISASA MWANGAZA DODOMA MJINI
NYUMBA INA VYUMBA 3-2 MASTER,SEBULE,DINNING,JIKO,STOO NA CHOO CHA PUBLIC
MBELE : INA FLEM 4 ZA BIASHARA ZINATAZAMA LAMI
KISASA MWANGAZA
BLOCK H PLOT 5
KIWANJA KINA UKUBWA WA 1916 SQM
INA HATI
BEI 250 MIL
KAZI IMENYOOKA SANA
TUWASILIANE +255672312302



















