3 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma


NYUMBA BORA NA NZURI INAUZWA MICHESE BLOCK " ZE" JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 624 sq.m
Ina vyumba vitatu
Master bedroom
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Ipo kilometre sita kutoka mjini
Ina HATI
BEI ni Tshs.35,000,000/= ( milioni thelasini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"