3 Bedrooms House for sale at Mkolani, Mwanza
NYUMBA INAUZWA MKOLANI
-ina vyumba vitatu vya kulala ( vyumba viwili ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni Sqm 746
-nyumba ina hati miliki mkononi
-bei Milioni 50
-maongezi yapo
📞 0743220097