3 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida







NYUMBA NA MSINGI WA VYUMBA 10, INAUZA BANK, TSHS.45 MILIONI, SALASALA KILIMAHEWA.
Eneo ni KILIMAHWE JUU.
Unaingilia MBUYUNI au AFRIKANA.
Nyumba ni ya vyumba 3 ya kisasa.
Pia kuna Msingi wa Ghorofa ya vyumba 10.
Ni umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Kiwanja kinaukubwawaSQM. 400.
UmilikiniMKATABAWAMAUZIANO. .
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.