3 Bedrooms House for sale at Nachingwea, Lindi
Nachingwea, Lindi CBD, Lindi
3 days ago
Sh. 75,000,000
SHAMBA EKARI 100 LINAUZWA NACHINGWEA
SHAMBA NI ZURI SANA.
Eneo lipo Umbari Wa 15KM Kutoka Nachingwea Mjini
Shamba lipo JIRANI na Shule ya Sekondari ya Farm17
Eneo ni ZURI Kwa uwekezaji Kuna Ekari 40 za miti ya mikorosho inayo zaa Vizuri,Ekari 30 Kwaajili ya Kilimo Cha Ufuta na alizeti, Ekari 30 limetengwa Kwaajili ya ufugaji Wa nyuki kuna mizinga 100 ya nyuki.
Ghala Kubwa la sqm:400 Nyumba ya kulala wafanyakazi Vyumba Vitatu sebule na Jiko.
Eneo Lote limepimwa linahati miliki.
TSH:75M
Tunashida sana maongezi yapo.
Buy,Sell, Rent and Advertise with us
Calls and Whatsapp 0621488071.