3 Bedrooms House for sale at Namanga, Arusha
TSHS MIL 150, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-TEGETA NAMANGA
UKUBWA WA KIWANJA CHAKE SQM 760
NYARAKA ZA UMILIKI INA HATI SAFI
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni Master, Dinning, Sebule, Jiko, Stoo, Bafu & Choo
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
SERVANT QUARTER NJE
NEIGHBOURHOOD NZURI YA KISASA
BEI INAUZWA TSHS MIL 150
KWA MAWASILIANO PIGA;
๐ +255 718 936 416
+255 768 914 118