3 Bedrooms House for sale at Nzuguni, Dodoma
NYUMBA NZURII IMEKAMILIKA KILA KITU.
INAUZWA DODOMA NZUGUNI
UELEKO WA MAIN ROAD MORO - DAR.
📍Eneo Hili ndio UWANJA MKUBWA WA MPIRA WA KIMATAIFA unajengwa.
▫️PIA ARENA
▫️Ndio Soko kuu na Stand Kuu ya ma
Mabus ya mikoani ilipo.
👉Ni jilan sana na Viwanja vya maonyesho ya 8 8
👉Eneo hili ni eneo lenye Fursa kubwaa na Nyingi sanaaa.
Kwa Baadhi ya hizo shughuli za kijamii zilizopo jilan kabisaa.
Ndio Eneo Linapakana na ILAZO + IHUMWA
Muundo wa Nyumba hii
▫️Room 3 - 2 master bedroom
▫️Seble
▫️Jiko
▫️Publictoilet
Huduma zote zipo.
➖️Maji + Umeme
(Duwasa / Tanesco)
➖️Tank za Maji
➖️Full Fens na Get
➖️Uwanjan Kotee hakuna Vumbi wala Tope kuna Raflow (cement)
Nyumba Ina nafasi nzurii
Imejengwa kwa Viwango Boraa sana vya ujenzi.
Inafaa sana Kwa Familiar
Bei N Tsh Million 60 tuh
Njoo site uone Nyumba Tuzungumze Biashara.
Site visit Elfu 20,000/=
📲Mawasiliano zaid
📲Call ____ watsapp 0718436694