3 Bedrooms House for sale at Pugu, Dar Es Salaam







INAUZWA NA BANK, VYUMBA 3, TSHS.40 MILIONI, PUGU-KONA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Msingi wa Ghorofa ya Sakafu mbili,
Banda la Mlinzi na Fremu za Duka 2.
Nyumba ipo ndani ya Fensi na jirani na Barabara ya Lami.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu)
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
+255714591548
___________mpg
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.