3 Bedrooms House for sale at Sinza, Dar Es Salaam


Nyumba Mbili Zinauzwa
Mahali: Sinza
Bei: Milioni 650 (Mazungumzo)
☑️Ukubwa: Sqm576
☑️Umiliki: Hati Ya Wizara
☑️Viwanja Viwili Vimeungana
☑️Nyumba 1: Vyumba 3 Sebule Jiko Choo
Nyumba 2: Vyumba 2 Sebule Dining Jiko Choo + Chumba Sebule Choo...0713 636000
☑️Nyumba Zote Zina Wapangaji Kwa Sasa.


















