3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam
๐ Nyumba Inauzwa Tabata, Dar es Salaam ๐
Kwa bei ya Tsh 130 milioni tu, unapata nyumba yenye vyumba 3 (1 ikiwa master), jiko la kisasa, sebule ya kuvutia, na nje kuna flame mbili. Hati miliki ipo mkononi kwa uhamisho wa haraka! ๐ก๐
Furahia maisha bora jijini Dar es Salaam. Usikose nafasi hii! ๐๐ผ
#HouseForSale #TabataHome #NyumbaMpya #RealEstateTanzania #HomeOwnership #daressalaamtanzania #dalalisosotabata