3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba Inauzwa - Tabata Segerea
- Vyumba: 3 (master + 2), sebule, dining, jiko la kisasa, store.
- Ziada: Jiko la nje, choo cha nje, full A/C, mafeni, kisima, tanki la maji.
- Eneo: 1000 sqm, parking kubwa, paving.
- Hati: Safi tayari.
- Bei: TZS 280M (maongezi kidogo).
๐ Piga: 0688 412 890
Chukua nafasi hii ya nyumba ya kifahari sasa!