3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


๐ฐPagale La Gorofa moja LINAUZWA, TABATA MAJI CHUMVI KWA SWAI
๐ Bei ni Milioni 25 tu
______________
____
โ
Floor ya Chini ina:- Chumba Master, Jiko, Sebule na Choo cha Familia
โ
Floor ya Juu Ina:- Vyumba 3 vya kulala na Vyote ni Master
#Ukubwa wa Eneo ni SQM 400
#Bei ni 25,000,000/= tu
_________
#Kupelekwa Kuona Nyumba 25,000/=
โ:- 0753172516