3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam
TSHS MIL 75, ENEO LINAUZWA
LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-TABATA KINYEREZI SONGAS
UMBALI KM 1 TOKA BARABARA KUU NA MITA 300 TOKA BARABARA YA LAMI YA MTAA
UKUBWA WAKE KIMEPIMWA SQM 850
NYARAKA ZA UMILIKI KINA SALES AGREEMENT
NDANI YAKE KINA PAGALE LENYE; Vyumba vitatu vya kulala, Dinning, Sebule na jiko
Kiko ndani ya fence
MIUNDOMBINU YAKE; Maji x Umeme vyote vipo
Neighbourhood kali maghorofa kama yote ๐ค
BEI KINAUZWA JUMLA TSHS MIL 75
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118