3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Pagale linauzwa Tabata Segerea Chama.
Ukubwa: SQM 400
Bei: Mil 50
- Lina vyumba vitatu, sebule, jiko, dinning na store.
- Ni tambarare
- Mtaa mzuri
- Huduma za kijamii zipo
- Panafikika bila shida
- Lina fence pande tatu
- Ina parking ya gari mbili
Unaweza malizia na kupangisha au kuishi mwenyewe.
Unaaweza bomoa na kujenga upya kulingana na hitaji lako.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.