3 Bedrooms House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA UKONGA MOMBASA BOMBAMBILI - ILALA MUNICIPALITY
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Flem Ya Biashara Nje
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 375
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 35 Million
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=