3 Bedrooms House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA UKONGA MOMBASA BOMBAMBILI - (MILLION 28)
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Flem Ya Biashara Nje
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Sio Mbali Kutoka Ofisi Ya Serikali Ya Mtaa Bombambili
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 28 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=