3 Bedrooms House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA 3,TSHS.3 MILIONI-TU,
UKONGA-BOMBAMBILI.
Ni kweli,
Ndio Bei yake hiyo; WAHI UJIKOMBOE.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni jirani na Kituo cha Daladala.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mskv