3 Bedrooms House for sale at Wazo, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa, ipo Tegeta Wazo , Umoja Road, ukubwa wa kiwanja Sqm 1000. Nyumba ina Vyumba Vitatu, kimoja Master, sitting Room, Dining, Kitchen na Public. Ina Baikota yenye Chumba Sebule na jiko.Ina fremu Tatu za Biashara. Kuna Garden Nzuri Maji ya Dawasa Tanesco Nyumba ina Hati Miliki Bei MIllioni 140 Maongezi yapo Gharama za Kuona 20000 Wasiliana nami kwa namba 0718 809744