3 Bedrooms House for sale in Kisima, Kilimanjaro







NYUMBA INAUZWA CHWAKA
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Beach/Pwani 600 Mita
Umbali mpaka Barabarani 500Mita
Ukubwa wa Kiwanja Ft 75x53
Vyumba 3 (Master 2) Sitting Room, Public Toilet, Dining Room
Chumba cha Nje
Jiko la Nje
Maji (Kisima)
Umeme
Bei Tsh 90M
NB: Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na video picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 600
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake




















