3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







BUNJU 'B' APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
SEBULE KUBWA
DINNING
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
HEATER
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
GARDEN
PARKING KUBWA
BEI NI 450,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY SHILINGI LAKI 4 NA NUSU)
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA BAGAMOYO NA KUTOKA BAGAMOYO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.
service survey charge elfu 20 cash
Piga simu O745010009 au 0742707023
piga cm uctume sms utachelewa kujibiwa
DALALI MTU MUHIMU DALALI AHESHIMIWE