3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Chanika, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA VITATU (3) TSHS.70 MILIONI, CHANIKA KWA MAKAMU WA RAIS.
Mbali ya hii kubwa inayojitegemea na yenye vyumba 3.
Pia kuna nyumba yenye Apartments nane (8)
Ambazo zinapangishwa.
Zote ni za kisasa na zinavutia.
Kiwanja ni kikubwa.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255 714 591548
__________tp
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.