3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA KINZUD
BEI LAKI 4 KWA MWEZ
UNAWEZA PITIA LASTANZA UKAENDA KINZUD KWA BODA ,1000,,
AU ,UNAWEZA PITIA MBEZI BEACH AFRIKANA UKAJA KINZUD KWA BAJAJI,,1000,
UKISHUKA TU UNAINGIA NDAN
UKILIPIA KWA LAKI 4.,,HUTO LIPIA ,MAJI,,USAFI ,ULINZ,,
💧Bei :: 400,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba VITATU,, Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri lenye makabati
📍Fence
📍Full ETA,
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
#0688546464whasp
#0655222280WHATSAPP