3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


#Repost Dalalimbezibeach_semba
#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT#
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA NJIA 4
———————————————————
KODI TSHS 700,000/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
APART YA KISASA
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vya kulala, #1Master Sebule #Kubwa Jiko,
#Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks
FencedApart
Garden
____________
Nione
#0718 759287
#0685 006223
______
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA