3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kariakoo, Dar Es Salaam
Hii apartment ipo kariakoo mtaa WA mafia
Zipo mbili zote zipo floor ya 4 no lifth Kila apartment moja inavyumba vitatu kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablic bei ya apartment moja inapangishwa ml 1 na laki 2 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6 mawasiliano
#0716938128
0760097834
0692198834 call