3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kariakoo, Dar Es Salaam
Hii apartment ipo kariakoo Livingston
Ipo floor ya 5 lifth gerent
Ni vyumba vitatu vyote ni ni master bedroom
Sebule choo Cha pablic
Jiko
Ni full fanish
Inapangishwa
Dollar 950
Kwa mwezi
Kodi mwezi mmoja moja
Kuendelea
Wai bila kuchelewa
Mawasiliano
0625584914