3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #600k
====
Vyumba 3 vya kulala
Kimojawapo master bedroom
Sebule kubwa Sana
Dinning kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
===
Bei:600,000 Kwa mwezi ×6 + hela ya tahadhari ya mwezi 1
====
INAJITEGEMEA umeme na maji, fence na parking IPO
===
Umbali KM 1.3 Usafiri bodaboda 1000
===
Kupelekwa kuona NYUMBA elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====