3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kijichi, Dar Es Salaam


Apartment ya kisasa inapangishwa tsh 850,000 kwa mwezi (miezi 6) Ina VYUMBA vitatu (1master) sebule,dinning, fitted kitchen , kila kitu utajitegemea Ila fensi mtashea wanne
Location ni kijichi miande (temeke)
==============
0712445523


















