3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT
Loc: kijitonyama
Price:1,100,000 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Vyumba 3 vya kulala kimoja master sebule jiko tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi umeme unajitegemea maji unajitegemea nyumba nzuri ya kisasa
Fanya Kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈