3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 × 6) KIMARA MWISHO
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO#350k
===
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa dining jiko na public toilet
====
Bei:350,000 Kwa mwezi × 6 ( Malipo miezi 6)
====
Umbali km 1.2 Bajaji zipo na bodaboda 1000
===
Apartments zipo 2 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikoni
====
Ndani ya fence parking ipo
==
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300