3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Vyumba vitatu (550,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐ก๐
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA SUKA
MPYA MPYA KABISA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING SAFI KABISA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 550,000/= ร 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI 300,000
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
MAFUNDI WAPO KAZINI KWA SPEED YA 5G WANAMALIZIA PAVING BLOCKS NA UREMBO KIDOGO
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300