3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA KIMARA SUKA UMBALI WA DK 10 MPK 15 KWA MIGUU
PIKPK 1000 MPK GETINI NJIA NZURI..
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEAAAAA...
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble Kubwa
Jiko kubwa
Stoo jikoni
Public toilet
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence zipo 2
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 550,000/=×6
(kuhusu bei na miezi fika kweny nyumba)
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5.5
0679447338
0753454167