3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA MWISHO DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 7 KUTOKA MOROGORO ROAD.
SIFA ZAKE .
Zipo nyumba Mbili kwenye Compound moja zenye APARTMENT nne na kila Moja inajitegemea Umeme na Maji Dawasa yapo 24hrs.
- Vyumba 3 vya kulala kimoja master.
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Tails ##gypsum
- Madirisha Aluminium
- Full paving block
- Car parking space.
KODI NI LAKI 400,000 /=
KWA MWEZI.
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















