3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT ##400K###IPO KIMARA MWISHO UMBALI DK 7 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD.
ITAKUA WAZI TAREHE 18/11/2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA.
SIFA ZAKE -
Ina vyumba 3 vya kulala, kimoja master bedroom, Sebule, jiko, public toilet, Tails, gypsum, Madirisha vioo.
Inajitegemea umeme na maji Dawasa mita yako##Maji yanaflow chooni na jikon##Rezev Simtank.
KODI NI LAKI 400,000/=
KWA MWEZI.
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /= Hii itadumu Mpaka upate bila kuchajiwa tena.
0713661530_0783661530



















