3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 500,000 x 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENCE MOJA HIYO YA CHINI NDIYO IPO WAZI
UMBALI WA KUTEMBEA DK 15 TU KWA MIGUU TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BODA BUKU TU
VYUMBA( 3 ) VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA SANA ( DINING ) NA JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING
WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENCE PARKING SPEACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
what saapp number 0689-547258