3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/12/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#JIKO KUBWA LA KISASA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
# INAYOPANGISHWA NI YA CHINI KABISA (GROUND FLOOR)
BEI NI 350,000/= X 6
UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY KODI YA MWEZI MMOJA)
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/12/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
===========
CONT
0683234124
0718367179