3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA KIMARA SUKA UMBALI WA Dk 15 MWENDO WA MIGUU ## BODA ELFU MOJA.
Sifa zake =
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble Kubwa
Jiko kubwa
Stoo jikoni
Public toilet
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence zipo 2
Parking space kubwa sana
---------
Kodi 550,000/=
Kwa mwezi
Malipo miezi sita na
Malipo ya dalali mwezi
Mmoja pindi ulipiapo nyumba
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
-------
Coll and Whatsap
0788410350 /0766825473