3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO MAENEO YA DAWASA UMBALI WA DK 7 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
ITAKUA WAZI TAREHE 18/11/2025 RUKSA KUONA NA KULIPIA.
----------------------------------------------
( MAREKEBISHO YATAFANYIKA )
Ina vyumba 3 vya kulala kimoja master.
Public toilet
Sebule.
Jiko
Tails
Gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni Mita inajitegemea.
Full paving block, Ndani ya fensi parking ipo.
KODI ni laki 400,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
#0785889413🔥🔥



















