3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(500,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗨𝗞𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= × 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION (𝗔/𝗖)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 500,000/= × 6 BEI LAKI TANO KODI MIEZI 6 NA BONDI YA MWENZI MMOJA
🏘️ APARTMENT NZURI YA KISASA 𝗜PO KIMARA SUKA
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
ITAKUWA WAZI TAREHE 31 MWENZI HUU KUONA KULIPIA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPOO
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝗮𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300