3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


#STAND_ALONE 🔥 YA KISASA 🔥 INAPANGISHWA #KIMARA_SUKA
#BEI NI 350,000/= × 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA NA CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING_BLOCKS
#BEI NI 350,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 - 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316WhatsAp
#0769680796whtsp