3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🏡APARTMENT NZURI KIMARA YA BONYOKWA
NI NYUMBA NZURI KABISA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA YA BONYOKWA, UMBALI KUTOKA KIMARA KM 1. KITUO CHA DALADALA NI DK.4 KUTEMBEA KWA MIGUU
# BODA 1000 TAX 500.
KODI NI TZS 300,000×6
SIFA ZAKE 👇
VYUMBA VITATU VYA KULALA SEBULE KUBWA PUBLIC TOILET KUBWA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE ISIYOLAZA GARI
NYUMBA INAJITEGEMEA PEKE YAKE UKIWEMO UMEME NA MAJI NDANI YA FENSI.
MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI MASAA YOTE .
CHANGAMKIA FURSA HII NDUGU MTEJA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI